Marble wallpaper
Je umechosha na uchakaaji wa makabati,meza,viti nk au unataka kubadilisha muonekano wa vtu vyako?
Ondoa shaka mkombozi amepatkana bandika wallpaper sticker ili kubadilisha muonekano na uwe wa kisasa zaidi
Wallpaper izi hazipitishi maji na azichafuki zkiwa na uchafu unafuta tu
Rolla moja inauzwa Tsh 55000 Rolla ina urefu wa mita 15 upana mita moja
Ufund kwa Rolla moja 20,000 kubandika
Wallpaper inagundi yake ambayo inashika vizur sana
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi