Tanzania's Marketplace For Products & Services
Tangastone Tunauza na kusambaza TANGASTONE nchini kote kwa rangi tofauti zitakazo ipa nyumba yako muonekano nadhifu na wa kuvutia kwa bei nafuu isiyo na mpinzani. 1.Tsh 28,000 per Sqm kwa ( BLACK TANGASTONE) 2.Tsh 30,000 per Sqm kwa (BROWN TANGASTONE) 3.Tsh 35,000 per Sqm kwa ( GREY TANGASTONE) NB: BEI HIZO TUNAFANYA FREE DELIVERY KWA DAR ES SALAAM NA TANGA PEKEE.
