Post Your Ad

Car Tracker/Locator

Tsh 200,000

Product Details:

Car Tracker/Locator Sifa kuu ya tracker hii inafanana na baadhi ya component zilizopo kwenye gari hivyo huna sababu ya kuificha, sababu wengi hata wakiiona hawatojua kama ni tracker. Unaweza kuitumia kama remote kill switch. Yaani mtu akichukua gari bila ridhaa yako unaweza kulizima hilo gari kwa kutumia simu yako tu. Unabonyeza mara moja tu na gari inazima. Hapo anaweza kuita msururu wa mafundi na gari isiwake. Na ukitaka iwake unabonyeza tu mara moja. Pia inasaidia kama ukiibiwa/kuporwa gari lako. Unaweza kulizima kabla mwizi wako hajafika mbali. Ina accurancy ya kiwango cha juu kwa sababu imecombine technology tatu za positioning yaani GPS, GLONASS na LBS, hivyo kurahisisha kulipata gari lako haraka. Accuracy yake ni 5 metres tu. Ina battery ya ndani(built in battery) hivyo haitotegemea battery ya gari muda wote. Yaani hata mtu akichomoa battery ya gari bado unaweza kutrack na kujua gari yako iko wapi. Unaweza kuset Geofence yaani mfano ukaset kwamba unataka gari yako itumike Dar tu. Kwa hiyo akitoka tu nje ya Dar unatumiwa message. Unaweza kuset speed alarm. Hivyo kama mtu atakuwa anaendesha speed gari yako utapata message kwente simu yako. Unaweza kuona History za route ya gari yako kwa miezi 6 iliyopita. Kwamba lilienda wapi na wapi. Kiukweli ina vitu vingi, siwezi kuvieleza vyote hapa. Kwa sababu za kiusalama, unaweza kuinunua ukaenda kufunga na fundi wako au nikakufungia mimi mwenyewe. Kuifunga siyo kazi ngumu. Kwa bahati mbaya ninazo pieces 2 tu za hii tracker. Kama upo mkoani unaweza kumuagiza mtu. Kama una swali unaweza kuuliza kwenye comment. Nipo DAR, MAGOMENI, MWEMBECHAI.