Tanzania's Marketplace For Products & Services
Kwa mahitaji ya cake packaging tools, GABF ndio jibu lako. Karibu ujipatie -Red cup -Toppers aina zote -Vifungashio -Rangi -Disposable plate -Transparent glass -Mirija N.k. Vitu vyote vinapatikana kwa bei ya jumla na rejareja. Tunapatikana Tandamti na sikukukuu street Kariakoo Daresalam.