Tanzania's Marketplace For Products & Services
Miliki kiwanja chako Bei poa kulipia ata kwa awamu Viwanja vinauzwa mbagala chamazi mbande ulipo uwanja wa azam complex Gali moja kutoka mjini nauli mia sita au mia nne ukishuka stend pikipiki elufu moja adi sait njoo ukague kwanza ujilizishe. Uduma zakijamii zipo Kama maji✓ shule✓ umeme✓ hospital✓ balabala✓ Ukubwa waviwanja na Bei zake 30 kwa 50 milioni 1 40 kwa 50 milioni 1,3 50 kwa 50 milioni 1,5 Unaweza kuunganisha kulingana na uwezowako malipo unaweza kulipia ata kwa awamu byashala zetu zinafanyika office ya selikali ya mtaa kwamawasiliano zaidi piga simu