Tanzania's Marketplace For Products & Services
MRADI MPYA!! WAZO MJI MPYA. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Umbali ni 2km kutoka barabara ya lami. -Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana kwa karibu. -Neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi. -Viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa. -Bei ni 40,000 kwa square meter moja. NJIA ZA MALIPO. Mteja unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 ukiigawanya kwa kila mwezi. #SITE VISIT ni KILA SIKU. 0763465758 0623590196 KARIBUNI SANA ?