Salesplus ni mfumo wa kidigitali unaomuwezesha mfanyabiashara kufanya shughuli zake kisasa mahali popote na wakati wowote.
Shughuli kama kudai madeni, kufahamu idadi ya bidhaa zilizopo, kufahamu bidhaa zinazokaribia kuisha , kufahamu kiwango cha faida kilichotengenezwa kwa siku, wiki, mwezi au mwaka ukiwa mahali popote , kufahamu hasara zinazojitokeza kwenye Biashara yako ikiwa ni uharibigu wa bidhaa au matumizi mabaya na mengine mengi.
Wasiliana nami kupitia mawasiliano yafuatayo ili kujua zaidi.
Email: [email protected]
Simu: 0710012585