Post Your Ad

Fundi madishi aina yote

Tsh 20,000

Product Details:

Pia tunafanya repea madishi ya zamani tunakuja kokote ndani ya dar es salaam pia tuna vifaa vya kisasa mfano digitar satterat ambayo ata umeme ukiwa amna tunafunga dishi bira wasi wasi pia tuna funga tv ukutani kwa garama nafuu dstv azam zuku startimes continetar cbank canalisport popote tunakufikia ukiwa dar es salaam