Ofa Ofa Ofa Wallpapers kwa bei ya punguzo kabisa ni kwa 25,000 tuu.
Hii ni kwetu pekee
Wallpaper 25,000
Gundi 10,000 inabandika 3
Ufundi kwa kila wallpaper 15,000
Wallpaper moja ina urefu wa mita 10 upana wa 0.5(nusu mita) yaani inakaa kwenye eneo la mita za mraba 5.
Kwa mawasiliano tupigie, popote tunafika na mikoani tunatuma.