Ni floor nzuri na za kuvutia sanaaa
Zinadumu hatazaidi ya teils ( ubora wake unazidi pale zege la jamvi linapokua imara)
Haichubuki wala kupauka sababu kuna kioo juu yake.
Unaweza kuweka ndani ya nyumba mahali popote .
Ina uwezo mkubwa wa kuzuia maji.
Haikwaruziki.
Unaweza kubadili muonekano bila kuvunja.
Haina joint kama teils.
Kama utakua na square meter nyingi bei itapungua.
Bei hii ni material juu yangu.
Inaweka floor ikiwa kwenye hatua za raf floor.
Kama umeshaweka teils itabidi tuzi rekebishe kidogo.
Ina uwezo mkubwa wa kuimili vishindo. Mana hii pia tunaweka viwandani na mahosipitalini.
Na parking za magari .