Karibu African Fashion ipo wilaya ya maswa mkoa wa Simiyu tunashona mitindo mbalimbali ya kike na ya kiume na huduma zifatazo
Mitindo ya send off
Mitindo ya harusi
Kipaimara
Ubarikio
Sale za shule
Sale za ofisini
Sale za viwanda
Karibu tupo tayari kukuhudumia