Post Your Ad

Mashine Za Aina Mbalimbali Zinapatikana

Tsh 1

Product Details:

Mashine Za Aina Mbalimbali Zinapatikana Kwenye Karakana Yetu Iliyopo Vingungut Dar Es Salaam. • Mashine za kilimo • Mashine za kusaga na kukoboa • Mashine za tofali • Mashine ya kutengeneza juice ya muwa • Mashine za kuchomelea • Mashine za kukamua mafuta • Mashine za kusaga kokoto • Mashine za kutengeneza vyakula vya mifugo • Mashine za kuranda mbao • Pia tunatengeneza majiko ya aina mbalimbali yanayotumia gesi na kuni • Mashine za kusaga kunde,karanga,korosho n.k • Mashine za kukuna nazi • Tela za power tiller • Mashine za kupepeta nafaka • Mashine za kutengeneza chaki • Mashine ya kutotoresha vifaranga (INCUBATORS) • Mashine za kutengeneza pavement blocks • Mashine za kuchanganya chakula cha mifugo.