Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Fundi dish,cctv camera na electtic fence

Tsh 20,000

Product Details:

?Tunauza,kufunga na kurekebisha madish aina zote Azamtv,Dstv,Canal plus,Zuku,Startimes nk ?Tunafunga mfumo wa Tv cable kwenye hotel,lounge,gest na pia tunafunga mfumo wa kutumia Tv nyingi kwenye bar saloon karibuni sana. ?Tunafunga CCTv camera pamoja na kufanya matengemezo ya mfumo kama una tatizo. ?Tunafunga fence ya umeme (Electric fence) na kufanya matengenezo ya mfumo kama una tatizo. Bei ya kufunga Fence ni 20,000 hadi 25,000 kwa mita moja ya urefu,bei inajumlisha vifaa vyote pamoja na gharama ya ufundi. ?Kama umeshanunua materials tunakufungia kwa 7000 hadi 10000 kwa mita moja urefu. ?Tunauza spea za ving'amuzi kama LNB,Dish tupu,mkono wa dish,waya,LNB njia mbili,njia tatu na njia nane zipo ?Tunauza stendi za Tv za ukutani pamoja na kufunga Tv ukutani. Tunakufikia ulipo ndani ya dar es salaam na mkoani pia tunafanya kazi karibuni sana

Specification:

  • Non

Item Details:

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com