Post Your Ad

Bulb cctv camera

Tsh 90,000

Product Details:

bulb cctv camera Unaweza kuunganisha kwenye simu yako ili kuangalia matukio yote kupitia simu yako (live)popote duniani (wifi needed). Inauwezo wa kutoa sauti pindi uzungumzapo kupitia simu na sauti ikatoka kwenye camera,kama ilivyo uzungumzapo nasimu nyingine hivyo unaweza kuzungumza na mtu alie eneo ulipoifunga kama utahitaji kuzungumza. Inaonyesha picha angavu (HD)inaonyesha vizuri hata kwa usiku (gizani). Inadetect motion nakukupa taarifa (alarm)kwenye simu yako pindi mtu akisogea eneo ulipoifunga. unaweza kuwasha taa muda wowote na kuizima pia waweza kuweka memory card ili kuhifadhi matukio kwaajili yakutazama wakati mwingine