Kuwa wakisasa uendane na technology
Karibu tukufungie android redio ambayo inakaa kwenye gari yoyote ilee
bei ni kwa laki 3 na 50 tu
Sifa zake hii redio
Kwanza ni za kisasa
Ni nchi 10 kioo chake
Ina 2 gb ram na 16 gb internal
Unaconnect na hotsport then unaweza kuangalia
Youtube
Ukatumia facebook,instagram na kusurf kwa browser
Unatumia bluetooth
Unatumia usb pia
Inakaa kwenye gari yoyote
Yaani ni universal car android redio
Tupo ubungo maziwa kwa dar tunakufata popote ulipo na mkoani tunatuma
For more nicheki hapa call/whatsapp