Post Your Ad

Automatic Gate Motor

Tsh 1,100,000

Product Details:

Automatic Gate Motor Epuka adha ya kushuka kwenye gari na kwenda kufungua geti hasa wakati wa mvua na usiku. Huna haja kupiga honi tena ukifika kwako, Huna haja ya mtu wa getini tena , huna haja ya kutumia tena kufuli kwenye geti lako, huna haja ya kuamsha mtu usiku akufungulie geti . Kwa rimoti yako tu (single touch) unayafanya yote haya . Ukifunga na rimoti huna haja ya kurudi tena getini. matumizi ya umeme ni kidogo sana (energy saving) motor iko kwenye mfumo wa DC Mashine ni bora na imara kutoka south Africa . Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote kwa umbali wa mita 100 Endapo umeme utakatika geti lako linaweza kuendelea kufanya kazi kwa siku tatu zaidi . pia kuna option ya kulirudisha manual na kuendelea kutumia kawaida ROYAL SECURITY SOLUTIONS tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama sh milioni moja na laki nne tu .Tsh 1.4M Kwa wale Mafundi wanaohitaji kununua tu ni Tsh sh 1.1M Tupo Dar Es Salaam-mbezi Beach popote tunafanya kazi

Specification:

  • Dc
  • Remote control

Item Details: