Unaweza kufanya biashara ya vitenge kwa urahisi zaidi. Chukua kwetu vitenge kwa bei ya jumla Tsh 28500 na ukauza kuanzia Tsh 30000 mpaka 45000.
Tunapatikana mwanga sokoni kigoma mjini; karibu sana tufanye biashara tufanikiwe pamoja!
Tunakuletea popote ulipo