Tanzania's Marketplace For Products & Services
Sasa ni muda wa offer kwa mkoa wa DODOMA. Ninakuletea mashuka mazito mazuri na bora kabisa kwa bei ya punguzo ??.. Unapata shuka 2 na foronya 2 Aina ya material ni pamba (full cotton) Size: 5/6 Mzigo upo DODOMA Ntyuka mwanzo wa maduka. Ukiwa Nyuka, Mkalama au mitaa ya UDOM nakufikishia hadi mlangoni (free delivery).