Shuka Zenye Pazia zake na Foronya zake
Karibu tukupatie Shuka zenye Pazia zake na Foronya zake (10PC set)
Shuka 2
Pazia 4
Foronya
_Kwa wateja wetu wa Dar tuna delivery Gharama kuanzia 3000-5000 inategemea na maeneo unayopatikana na unalipa baada ya kupokea mzigo.
_Kwa wateja walio mikoani unatutumia Pesa ya mzigo na usafiri tunakutumia au unaweza kumtuma mtu unayefahamiana nae huku Dar akaja dukani kwetu kuchukua mzigo alafu akakutumia. Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi