Hydraform Interlock Brick Blocks
Hazihitaji maji, cement na mchanga yaan udongo wa kujengea au mortal joint kwani zinajifunga zenyewe kwa zenyew
Hazihitaji plaster kwani zilivyo ni urembo tosha hapo ni kupiga polish tu
Hazihitaji majukwaa kwani unajenga ukiwa juu ya ukuta na hakuna shda kabsa
Ujenz wake ni wa muda mfupi Sana nyumba inakamilika
Bei ya tofal 1=650 na tunakufuata ulipo yaan Kaz ya kufyatua tofal inafanyikia site kwako wewe utaandaa maj tu material mengne tutafatilia wenyew kwa Bei hyo hyo
Nje ya Dar kazi ianzie tofal 10000 tutakufikia