Hydra form Interlock Brick Blocks
Interlock block ni tofal ambayo haihitaj cement mchanga wala maj wakat ikianza kujengwa kwan inafungamana yenyewe kwa yenyewe
Pia ujenz wake ni wa muda mfup Sana
Pia ina weza kujengea ghorofa hata bila nguzo pembeni (kwenye Kona)
Kwa asilimia kadhaa inapunguza joto
Bei ya tofal 1=650
Mim ninafyatulia site kwako wewe utaandaa maj tu material mengne ntafatilia mwenyewe
Ili kukupunguzia gharama za usafirishaji, upakiaj na ushushaj pia tofal ikifyatuliwa site haipotez ubora