Post Your Ad

Stainless Steel Tanks

Tsh 5,890,000

Product Details:

STAINLESS STEEL TANK 304 materials Stainless steel tanks Tanzania Ni watengenezaji pekee wa stainless steel tank kwa matumizi mbalimbali ikiwemo majumbani , maofisini, mashuleni,vyuo mpaka kwenye viwanda kwa kuhifadhia maji, chemical viwandani, kuhifadhi dawa mbalimbali ,,pombe, Asali,mafuta,na vitu vingine vinavyowez kuhifadhika kwenye tank SIFA ZINGINE ZA STAINLESS STEEL TANK ??Haziwezi kushika kutu ??haziruhusu bacteria ? kuzaliana ndani ??haziathiliwi na Mwanga wa jua ??Hudumu kwa muda mrefu ??unaweza kuhifadhi aina yeyote ya kimiminika kwa muda mrefu bila kuharibika ??Hudumu kwa muda mrefu tofauti na tank za plastic ??smooth nd beautiful surface