Tanzania's Marketplace For Products & Services
Tunauza stainless steel tanks ambazo hazishiki kutu ni tank zinazotumika viwandani kama MAFUTA, VINYWAJI NK. ni tanks ambazo hazishiki kutu haziakisi jua na bakteria hawapenyi. Wasiliana nasi kwa maelezo zaid.