Tunauza Submetering Teknolojia ya Kisasa kabisa ambayo inaondoa Malalamiko Kati ya Mwenye nyumba na Mpangaji.Hizi ni Submetering ambazo zinafanya mtumiaji kununua token ya Pesa yoyote kuanzia Tsh 1000/= Mfano unaweza ukawa na Fremu 20..Hapa unanunua Luku meter 1 then submetering 20 zinafungwa Kwa teknolojia ya kisasa ambayo inamfanya mtumiaji akiishiwa na Umeme kama hajanunua hawezi kupata umeme.wengine wataendelea kuwa na umeme..Kwa kweli ni teknolojia iliyokuja kujibu maswali magumu Kati ya mpangishaji na mpangaji.. Submetering hizi zimeunganishwa moja Kwa moja na Tanesco.. Huna haja ya kuwa na luku meter nyingi
GARAMA PAMOJA NA UFUNDI