Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Submetering Tanesco Luku Yako Mwenyewe

Tsh 130,000

Product Details:

Epuka migogoro ya luku(umeme) kwenye nyumba za kupanga -Kwa sasa unao uwezo wa kununua meter 1 ukaifunga kwenye chumba chako au fremu yako ikafanya kazi vizuri ina kazi gani hiyo mita -Itakusaidia kutengana na wengine(wapangaji) kwenye swala la umeme yaani umeme utakaonunua utauweka kwenye mita yako tu na utautumia wewe mwenyewe tu ikiwa kwa wenzako utazima kwako utaendelea kuwaka kwa sasa bei ni 130000 bila ufundi

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com