Tanzania's Marketplace For Products & Services
(MULTIPURPOSE TORCH) JIPATIE TAA INAYOUWA WADUDU WANAOTAMBAA NA KURUKA MBU, INZI, MENDE nk -Inafanya kazi mbili kwa wakati mmoja -Unaweza itumia kwa matumizi ya kawaida au kwa ajili ya kuulia WADUDU -Ipo katika mfumo wa TAA mbili moja kwa ajili ya matumizi ya kawaida na nyingine kwa ajili ya kuulia WADUDU TAA YA BLUE NI KWA AJILI WA WADUDU NA TAA NYEUPE KWA AJILI YA MATUMIZI YA KAWAIDA (utaona kwenye picha hapo chini) -Inatumia SWITCH CONTROL moja tu -Haitumii umeme mwingi 20WAT -Ni rahisi kuitumia -Bei ni tsh 20,000, jumla kuanzia (5) tsh 18000 - PUNGUZA MATUMIZI YA NETI -free delivery in dar es salaam mkoani tunatuma weka Namba yako kama unahitaji tutakupigia -Tunapatikana k/koo mtaa wa agrey na Livings