Post Your Ad

Mosquito Killer

Tsh 40,000

Product Details:

Je wasumbuka na Tatizo la mbu usiku ?. Tatizo lako ni dogo. Sasa jipatie mashine ya kuulia mbu inayotumia umeme kwa bei chee Zaid, ondoa tatizo la mbu nyumban kwako, hotelin kwa kwingine kote. Inauwezo wa kukaa sehemu yoyote flat Dsm tunaweza kukufikishia mpaka uliko. Na wa mikoani pia inakufikia bila wasiwasi *Jinsi ya Matumizi* ------------------- Matumizi yake ni rahisi sana unakichomeka kwenye umeme kwa kutumia kichwa chake au kichwa cha chaja ya simu na kitawaka moja kwa moja. Kinatoa mwanga wa blue ambao unavutia mbu kusogea karibu yake (Ukizima taa ndo kinafanya kazi 100%). Then mbu akisogea karibu unamvutia ndani na kumuua. Ukitaka kukisafisha ni vema ukakifungulia nje ili mbu au wadudu walio wazima wasirudi tena ndani