Tunauza Mabati bora ya kisasa yasiyopauka, kutoka Kampuni za ALAF, SUN SHARE na KIBOKO Kwa bei ya punguzo moja kwa moja kutoka Kiwandani.
Tunayo Mabati ya M-south (Migongo mpana), Bei kwanzia 16,666/= hadi 8,500/= Kwa mita 1
Tunayo Mabati Vigae(Versatile), Romantile Bei kwanzia 19,638/= hadi 14,800/= kwa mita 1
Tuna Mabati ya kawaida Migongo midogo ya rangi na meupe, Bei kwanzia 29,000/= hadi 20,000/= kwa Bati moja la mita 3
Tunayo Misumari ya Bati ya rangi, Kofia na Valley.
Tunapatikana Buguruni Chama DSM
Kwa mawasiliano Piga au tuma ujumbe wa kawaida au WhatsApp