Post Your Ad

Mabati ya msouth G30 G28

Tsh 21,500

Product Details:

utakapofanya manunuzi kiwandani kwetu utajipatia; -huduma ya usafiri bure popote ndani ya tanzania, -ushauri wa kiufundi jinsi ya kuezeka bure, -gurantee ya maandishi miaka 10 jipatie bati toka kiwandani na lipa kidogo kidogo mpaka pale utakapo timiza malengo yako na usafirishiwe free adi saiti kwa bati 80 na kuendelea Bei Zetu Ni Kama Zifuatazo, G30 - Tsh21,500/-mabati Ya Msouth Migongo Midogo.Ft 10 G30 - Tsh22,000/-mabati Ya Msouth Migongo Mipana.Ft 10 G28 - Tsh30,500/-mabat Ya Msouth Migongo Mipana.Ft 10 G30-tsh31,500/-mabati Ya Msouth Bati Za Vigae.Ft 10 G28 - Tsh35,500/-mabati Ya Msouth Bati Za Vigae.Ft 10 #Wasiliana Nasi