Kampuni ya Bati bomba imewaretea furusa ya bati za msouth zenye ubora zisizo pauka sasa njoo mwenyewe hadi kiwandanii upate huduma hiyo,
bei zetu nihizi zifuatazo
g30 ni tsh, 24500, migongo mikubwa
g30 ni tsh, 23000, migongo midogo
g28 ni tsh, 33000, migongo mikubwa na midogo
bati aina ya vesa tairizi,
g28 mita moja ni tsh, 14000
g30 mita moja ni tsh,12000