Tanzania's Marketplace For Products & Services
Bill Counter Machine -Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services -Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa -Mawakala wa Mpesa, Tigopesa etc hii sio ya kukosa kwenye ofisi zenu -Inahesabu milioni moja kwa sekunde kumi tu -Hii itakusaidia kugundua noti feki, hela zilizochanika na ambazo zipo katika hali mbaya -Ni rahisi sana kuitumia, na itaifanya ofisi/biashara yako iwe ya kisasa zaidi na utendaji kazi utakuwa wa ufanisi zaidi - Waranty mwaka mmoja Tupo Makumbusho Bus Stand Kwa Wateja Wa Dar Free Delivery . Mikoani Unatumiwa