Post Your Ad

Incubators machine

Tsh 195,000

Product Details:

Bado unajiuliza uwekeze kwenye nini ? Chukua hatua za haraka zenye manufaa Kwa maendeleo ya leo na mbeleni Karibu kwenye uwekezaji wa ufugaji wa Aina mbali mbali za ndege kama kuku, Bata,kanga na nk.. TAIFOCUS COMPANY inakuletea mashine Zenye ubora wa hali ya juu kwaajili ya kutotolesha Vifaranga vya aina zote za ndege.... Ni AUTOMATIC mashine Ina geuza mayai WARRANTY mwaka mmoja Mkoani tunatuma unapokea mzigo ndo unalipia Mawasiliano zaidi..... Usisite kutembelea ofisi zetu UBUNGO RIVERSIDE au sim namba