Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Pump Za Maji Machafu Na Masafi

Tsh 400,000

Product Details:

Pump Za Maji Machafu Na Masafi Hizi Ni pump zinazotumika Kwa Visima vya Kuchimba Kwa mkono / Kupandisha Maji Juu, Shambani kwa Umwagiliaji,Kutumika Kutoa maji kwenye Tank Moja kwenda Lingine n.k .. Zipo Aina Mbili za Pump ( Za maji Machafu Na za Maji Safi ) / Bei zinaenda Hivi... 1.5hp ni 400,000 Tu / 2.0hp ni 500,000 / 3.0 hp ni 600,000 Tu.. . Popote Ulipo Nje ya Mkoa Wa Dar tutakutumia, Kama upo Dsm unaweza Kufika Dukani,Kariakoo mtaa wa Swahili na Omari Londo . Tunashauri Uwahi Kabla Bei hazijapanda zaidi uhitaji utakapokua Mkubwa..

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com