Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

WATER PUMP

Tsh 84,000

Product Details:

Hizi Ni pump zinazotumika Kwa Visima vya Kuchimba Kwa mkono / Kupandisha Maji Juu, Kuzibua Vyoo, Wapo wanao tumia Shambani kwa Umwagiliaji,Kutumika Kutoa maji kwenye Tank Moja kwenda Lingine n.k .. Zipo Aina Mbili za Pump ( Za maji Machafu Na za Maji Safi ) / Za Maji Safi zinakua na Impeller Ndogo, Na Za maji Machafu zinakua na Impeller Kubwa.. (Hizo kwenye Picha Ni zenye Impeller Kubwa,Hivyo Unaweza Kutumia kwa maji Machafu au Masafi.. Popote Ulipo Nje ya Mkoa Wa Dar tutakutumia, Kama upo Dsm unaweza Kufika Dukan.

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com