Tunaunda mashine ya kugandishia barafu kwa haraka
Hugandisha kuanzia lita 240,360, 400, 500, 600 na 800 kwa siku
Bei:
Lita 240 Tsh 2,500,000
Lita 360 Tsh 3,000,000
Lita 400 Tsh 3,500,000
Lita 500 Tsh 4,000,000
Lita 600 Tsh 5,500,000
Lita 800 Tsh 6,500,000
Hizo bei bila vat, bila kopo za kugandishia
Pia tunaunda size kubwa sawasawa na uhitaji wa mteja
Inakuja na warranty card ya mwaka mmoja