Tanzania's Marketplace For Products & Services
Sewage Pump & Marine Pump / Italy Design Hizi Ni pump zinazotumika Kwa Visima vya Kuchimba Kwa mkono / Kupandisha Maji Juu, Shambani kwa Umwagiliaji,Kutumika Kutoa maji kwenye Tank Moja kwenda Lingine n.k .. Zipo Aina Mbili za Pump ( Za maji Machafu Na za Maji Safi ) / Bei zinaenda Hivi... 1.5hp ni 400,000 Tu / 2.0hp ni 500,000 / 3.0 hp ni 600,000 Tu.. . Popote Ulipo Nje ya Mkoa Wa Dar tutakutumia, Kama upo Dsm unaweza Kufika Dukani,Kariakoo mtaa wa Swahili na Omari Londo