Post Your Ad

MKOPO WA VIWANJA KIGAMBONI

Tsh 12,000,000

Product Details:

MKOPO WA VIWANJA KIGAMBONI UNGINDONI MALIPO NDANI YA MIEZ MITANO Mkopo wa viwanja kigamboni ungindoni,bei tsh 30,000/kwa sqm=1 ya mraba.viwanja vipo jirani kabisa na barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni au toangoma.viwanja vimepimwa kwa ukubwa tofauti tofauti.utaratibu wa mkopo mteja anatakiwa alipie nusu nyingine ataendelea kulipia kidogokidogo ndani ya miez mitano.hati(titledeed)hatapewa Baada Ya kumaliza malipo