Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Tunauza viwanja vya makazi bora

Tsh 1,300,000

Product Details:

Tunauza viwanja vya makazi bora kisemvule obey,utunge,mwanambaya. Karibu Obey new villege Ni mradi wa viwanja vya makazi na biashara (kisemvule) BEl SASA NI MILIONI 1.3 TU.Ni Viwanja vizuri sana VIMEPIMWA, UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40 mil 1.3 futi 80 X 50 (SQM 400)milion 2.6, futi 100 X 80 (SQM 800) 5,200,000/=. Viwanja vipo kisemvule mbele kidogo ya Vikindu. Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Eneo la Shule limetengwa, Eneo la Stendi limetenga Eneo la kituo cha afya limetengwa, Eneo la Soko n.k USAFIRI NI UHAKIKA, kuna daladala za kutoka Gerezani hadi Kisemvule, Tandika hadi Kisemvule, Tenmeke hadi Kisemvule n.k FIKA KISEMVULE, utapelekwa mpaka kwenye mradi wetu bure. Njoo ulipie kiwanja chako, KWA AWAMU TUNAPOKEA, KUMBUKA KUJA KUONA NI BUREEE NA KUNUNUA NI HADI URIDHIKE MWENYEWE.

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com