Post Your Ad

Kibaha lulanzi viwanja

Tsh 4,000,000

Product Details:

Kibaha lulanzi viwanja Million nne (negotiable) -Square meter 400 (20X20) na kuendelea -Karibu na hospitali mpya ya wilaya -Km MOJA kutoka lami (Morogoro Road) -Bodaboda buku -Gari zinaingia na kutoka bila wasiwasi -Viwanja vipo mtaani -Ni tambarare (Havituamishi maji throughout) -Umeme upo na Maji yapo -Utalipa Cash au Mkopo usio na riba -Site kwenda ni bure