Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Offa! Viwanja dodoma ( CHAMWINO, NALA, CHAHWA)

Tsh 2,500,000

Product Details:

Offa offa offa!! Property Investors (PIC) inakutangazia offa kabambe ya miliki kiwanja bei chee, viwanja viko mji mkuu dodoma maeneo ya #NALA, #CHAHWA na #CHAMWINO NALA 1km kutoka main road Viwanja vinaanzia sqm 400 na kuendelea... CHAMWINO 1km kutoka main road 27km kutoka dodoma town Viwanja vinaanzia 400sqm na kuendelea.. CHAHWA Maeneo yapo nyuma ya mji wa ikulu 4km kutoka main road Viwanja vinaanzia 400sqm na kuendelea.. Malipo BEI ni 2.5M tu Viwanja vyote ni 6000/= kwa sqm Lipia kidogo kidogo hadi miezi 6 bila riba wala dhamana Kamilisha upate hati miliki yako Site visit ni kila siku bila gharama yeyote

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com