Tanzania's Marketplace For Products & Services
Tunauza Viwanja Vilivyopimwa Kigamboni Dege Tunauza viwanja vilivyopimwa maeneo ya dege kigamboni kutoka barabara ya lami mpaka site km moja na nusu na kutoka ferry mpaka site ni km 21 viwanja vyetu vina ukubwa kuanzia sqm 300 400 500 na kuendelea bei kuanzia sh million 2 na nusu na kuendelea kutokana na ukubwa wa kiwanja unachokihitaji miundo mbinu yote ipo wahi mapema kabla havijakwisha