Tanzania's Marketplace For Products & Services
Tunauza Viwanja vya makazi kwa bei ya milion moja na laki mbili tu (1,200,000/=) Viwanja vyetu vinapatikana VIKINDU, mbele kidogo ya Mwandege kiwanda cha Bakhresa.. Umbali ni 2km kutoka barabara ya lami(Vikindu Stendi). Viwanja vimepimwa na barabara za mitaa zimechongwa tayari na huduma zote za kijamii zinapatikana karibu na mradi. Kwa bei ya Milion 1.2 utapata ukubwa wa kiwanja cha Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha zaidi ya viwanja viwili, ni uwezo wako tu. Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi3. Usafiri ni Uhakika, unapanda gari moja tu, tokea Kariakoo, Kivukoni, Buza, Temeke, Tandika, Kigamboni mpaka Vikindu. Kutembelea mradi wetu ni kila siku, na kuja kuona ni bure. Piga/