Post Your Ad

Viwanja Kigamboni

Tsh 1,800,000

Product Details:

Miliki viwanja vilivyo pimwa kwa bei rahisi. -KIGAMBONI BUYUNI KANISANI. •Km 50 Kutoka feri •Bei: TSH elfu 4500 kwa sqm 1 kwa Cash. •sqm 400= (TSH Milioni 1.8 Tuu). Na Elfu 6000 tuu kwa mkopo (instalment).Ndani ya miezi 18. •sqm 400= (TSH Milioni 2.4 Tuu). -KIGAMBONI DEGE NYUMA YA MAGHOROFA YA NSSF •km 20 kutoka feri. •Bei: TSH elfu 15 kwa sqm 1 kwa Cash. •Sqm 400= (TSH Milioni 6 Tuu). Na Elfu 20 kwa mkopo (instalment),Ndani ya miezi 18. •sqm 400= (Milioni 8 Tuu).