Post Your Ad

Tunauza viwanja Chamazi azam complex

Tsh 800,000

Product Details:

Tunauza viwanja Chamazi azam complex Kupata kiwanja Cha makazi Chamazi kwa laki8. Ni karibu sana na uwanja wa azamcomplex. Pia karibu na Mji gary1? Kutoka K/koo➡️MB/magengeni (600tsh) Temeke➡️MB/magengeni (600tsh) Kutoka mbande mpaka site. (Pikipiki100,Bajaj500 kutembea Dk10-15) Huduma za kijamii kama:- ✔Maji ✔Shule ✔Barabara ✔Umeme ✔Zahanati Na nyingine nyingi zipo jirani. Bei zetu ni kuanzia laki800,000 kwa (Futy) mpaka 30×50 nakuenderea kulingana na uhitaji wa mteja pia unaweza kuunganisha zaidy ya kimoja.KILA KIWANJA KINA BARABARA NA TIARY ZIMECHONGWA. Bei zetu ni kuanzia laki800,000 kwa (Futy) mpaka 30×50 nakuenderea kulingana na uhitaji wa mteja pia unaweza kuunganisha zaidy ya kimoja.KILA KIWANJA KINA BARABARA NA TIARY ZIMECHONGWA. -kuona ni bure siku yoyote. -Hati zinatolewa.