Tanzania's Marketplace For Products & Services
Tawa Water Proffesional... ni wachimbaji wa Visima vya maji pia wanafanya utafiti wa maji chini ya ardhi yaani ( Geopysical survey) kwa ghalama nafuu kabisa. Ukichimba na sisi unawekewa bomba Upvc na pampu bure pamoja na Tenki la maji bure. Tupo Dar Es salaam Chanika