Tuna program Remote za push to start(smart keys)
Tunaprogram funguo za immobilizer kwa aliyepoteza(Transponder key programming)
funguo za pikipiki bmw, yamaha. Ktm nk
housing za funguo za remote(remote shells )
kusajili remote na funguo za ziada (spare key & remote programming)
kuprogram control box za magari aina zote
Tunarepair controls za Toyota zenye shida upande wa Gear box. (Gear kugonga nk)
kupima gari kwa computer(diagnosis)
kuzima mifumo mbalimbali kama Dpf off,Egr off,Adblue off, Immo off & dtc off