Tanzania's Marketplace For Products & Services
-ELECTRIC FENCE . -kwa huduma nzuri za kuwekewa ELECTRIC FENCE kwenye eneo lako, @skmquality @skmquality_ ndiyo tutakaokufanikishia hii huduma. -Fence hizi ni salama kwa matumizi yako na familia yako, lakini pia ni bora sana kwenye kuimarisha ulinzi wa eneo lako - Gharama ya fence hii ni Tsh. 25,000/= tu kwa mita moja, ambapo itajumlisha gharama ya vifaa na ufundi -Imarisha ulinzi na usalama wa eneo lako kwa kuweka electric fence, pia unaweza ukaweka na CCTV cameras ili kudhibiti kabisa uhalifu wa aina yoyote ile. -Karibuni @skmquality @skmquality_ Ofisi zetu zipo makumbusho bus stop na Morocco Bus stop.