Valvet Sofa beds mpyaa laki mbili na hamsini 250k, tupo M/Nyamala piga simu tukulete Maongez Yapo Usafiri Bure Kwa Dar Unalipa Ukipata Mzigo
Lyons pressure cooker lt 2.7 Inachemsha uji Inapika maharag, kunde, nk Inapika nyama, kongoro, supu Brand ya ailyons Usafiri bure dar es salaam
lolita spring mattress tanfoam arusha ...futi 6/6 inch 10 tsh.820000/= 6/6.5 inch 10 tsh.920000/= 5/6 inch 10 tsh 720000/= unaletewa free DAR ESALAAM
Karibuni sana Gold furniture tunatengeneza kitchen cabinet za majiko ya gesi usipate shida wakat wa kupika bei zetu ni kuanzia 50k,60k,70k,90k,120,140,170,190k karibuni sana location mabibo ntumie sample yako whatsapp ya ...
Meza Za Gas Ofisi Ipo Mabibo Mwisho Na Kibaha Maili Moja Tunatoa Huduma Ya Kumletea Mteja Kwa Bei Rafiki Ya Usafiri. "Meza Zipo Tayari Na Boss Wetu Unanafasi Ya Kuchagua Rangi Uipendayo Tukupakie" Tunaweza Kukuhudumia Kwa...
kodtec Rice cooker jipatie rice cooker za aina zote ya kilo 2.5 shilingi 80000 1.5 sh 55000 soko mjinga unga ltd
Jipatie meza safi za majiko ya gas,,,iwe mitungi mikubwa au midogo au hata ukitaka kuweka plate,Tuntengeneza kwa bei nafuu,,,bei iliyotajwa hapo juu ni fixed haishuki wala haiongezeki,,,TUPO ILALA BUNGONI,,,Bei inaanzia el...
Vitanda vya sofa na mchanganyo wa mbao Vitanda bei poa kwa ubora wa gharama Tunapatikana chang’ombe Maduka mawili Vitanda vyetu tunauza kuanzia laki mbili na nusu(250,000) mpaka milioni moja(1,000,000)
Shuka nyeupe za mistari shuka 1 foronya 2 size 7 kwa 8 Dar,Sinza madukan opposite na vunja bei
Aboder rice cooker -inapika wali,nyama,maharage n.k -kg 1.8L -Tupo kariakoo MSIMBAZ -Warranty mwaka mmoja
Sasa ni muda wa offer kwa mkoa wa DODOMA. Ninakuletea mashuka mazito mazuri na bora kabisa kwa bei ya punguzo 🇹🇿.. Unapata shuka 2 na foronya 2 Aina ya material ni pamba (full cotton) Size: 5/6 Mzigo upo DODOMA Ntyuka mw...
Meza Za Vioo Pata meza za vioo kwa bei poa, meza moja Tsh 25000/=Stuli moja sh 15000/= MEZA ZA TV TSH 40000/= Kwa mahitaji ya seti utapata seti yenye meza na stuli nne AU mbili kwa bei poa TUNAPATIKANA MANZESE TIP TOP
Pressure Cooker - 5Kg / Brand New Kwa Kila Pressure cooker MOJA.. Ni Mpya Kabisa,Full Boxed.. Maduka Yetu yapo KEKO,Njia Panda ya Uwanja wa taifa, Kigamboni Bigstone na Temeke Majaribio DSM.. Mkoa Wowote ulipo Tunakutumia...
Hot Pot Made In India Ni Mpya Full box Jipatie hotpot orginal kutoka India, unapata pcs4 na chupa ya chai pc1 no hotpot ya uhakika, Kwa wateja wateja wa Dar unaletewa hadi nyumbani kwako Kwa mawasiliano zaidi tupigie kalib...
Natengeneza vitanda vya chuma Ni imara na vinadumu kwa muda mrefu sana Size 5&6=250000 Size 6&6=280000 Dabo deka kuanzia 450000 mpaka 600000 Napatikana Dsm-Airport **njoo uweke oda yako sasa
Sufuria Za Kisasa Non Stick Cookware Jipatie sufuria za kisasa kwa bei poa ✓Zipo pic 4 ✓Haziunguzi chakula wala kushika Moshi au masizi ✓Tupo K/Koo mtaa wa mkunguni na nyamwezi DAR ES SALAAM ✓Tunakufikishia mpaka ulipo kwa...
BBQ Grill Cookware Choma nyama kisasa ukiwa na jiko la nyama. Bei ni NAFUU Mnooo Tupo K/Koo mtaa wa mkunguni na nyamwezi
Air fryer cookware Air fryer cookware Volume ni 5litres ✔Mashine iko kwenye ubora wa hali ya juu. ✔Inatumika kuchomea chips, nyama, sausages na vinginevo bila kutumia mafuta. ✔Inatumika kupashia chakula ✔Inatumika kuoka ke...
Magodoro bei nafuu kabisa Tuff foam, free delivery for Dar. Call ,Txt n WhatsApp Wasiliana nasi , WhatsApp. Magodoro Tuff foam bei nafuu kabisa, magodoro Bora free delivery kwa wakazi wa dar-es- salaam, lipa baada yakupoke...
Nauza godoro za tanfoam Arusha. Spring mattress Foam mattress Premium luxury mattress Tanfoam pedic Alinunua Babu mpaka mjukuu analitumia 5/6, 6/6, Inch 8"10"12 Kinondoni dar esalaam Mawazo mengi sleep on it
Meat Grinder Brand New Available Mashine Ya Kusagia Nyama Ya Umeme Mpya Kabisa Warranty Mwaka Mmoja Iko Full Na Box Lake Tupo K/Koo Msimbazi
Kwa Mahitaji Ya Mafriza Mapya Na Ya Kisasa Na Ya Bei Nafuu Sana Wasiliana Nasi Kwa No.0774388096 Mafriza Yetu Ni Original Yana Waranty Ya Miaka Miwili Na Mengine Yana Waranty Ya Miaka Mitano Mafriza Yetu Yanatumia Umeme Md...
Mr Uk Fridge Litre 90 SVR @ 360,000 Litre 60 SVR @ 400,000 Litre 70 SVR @ 430,000 Litre 110 SS @ 545,000 Litre 110 SVR @ 555,000 Litre 110 BLK @ 565,000 Litre 125 SVR @ 595,000 Litre 145 SS @ 585,000 Litre 165 SS @ 645,00...
Boss homebased Fridge Litre 90 SVR @ 360,000 Litre 60 SVR @ 400,000 Litre 70 SVR @ 430,000 Litre 110 SS @ 545,000 Litre 110 SVR @ 555,000 Litre 110 BLK @ 565,000 Litre 125 SVR @ 595,000 Litre 145 SS @ 585,000 Litre 165 SS ...