Tanzania's Marketplace For Products & Services
JIKO HILI Kitaalamu linaitwa infared gas cooker. Yaani ni Jiko la gesi linalotoa moto mpana zaidi na linawaka kama jiko la umeme. Majiko haya ndio yako sokoni kwa sasa. Kwani hayatoboi masufuria. Duka letu linawapa ofa kub...