Bulb camera hizi ni camera zenye muundo wa bulb na zinatoa mwanga Kama bulb zingine za umeme huku zikiendelea kurekodi matukio.
Tunapatikana Sinza kumekucha 16GB=18,500tsh
Specification:
zinarekodi matukio yote mpaka sauti
zinasehemu ya kuweka memorycard kwa ajili ya kutunza
ukiwa na wifi internet utaweza kuona matukio kupitia simu yako